Frank Ocean amepokea tuzo yake huku akiwa na jeraha mkononi ambalo lilitokana na kuumia alipozichapa na Chriss Brown.
Mtayarishaji huyo alizichapa na mwimbaji huyo walipokutana katika studio ya Ocean.
Lakini Ocean bila kuonekana kujali kuhusu jeraha hilo ambalo lipo katika vidole vya mkono alipokea tuzo yake bila ya kuwa na shaka.
Pia tukio hilo liliwakutanisha wawili hao kwa mara kwanza toka walipopigana kwa sababu inayoelezwa ni ya kitoto na kila mmoja hakuoneka kuwa na chuki na mwenzake.








