JENNIFER LOPEZ ATEGA NA KIVAZI
KIVAZI cha mwanamama Jennifer Lopez kimewaacha wanaume wakware katika hali ya kimahaba na matamanio.
Lopez katika utoaji wa tuzo za Grammy aliweza kuwafunika mabinti vijana kutokana na kivazi chake kilichomfanya kuwa na mvuto wa kipekee.
Mpasuao ambao uliacha wazi sehemu kubwa ya mguu wake ndio kilikuwa kivutio kikubwa kwa wengi waliohudhulia tukio hilo kubwa nchini humo.
Vazi hilo limebuniwa na kampuni ya Versace, ambapo katika tuzo hizo Lopez aliambatana na mpenzi wake.









