Google PlusRSS FeedEmail

UJUMBE MFUPI WAMPONZA RIHANNA





KITENDO cha mwanamuziki Rihanna kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Rapa Drake kumesababisha mtafaruku uliochangia kusitisha uhusiano uliopo baina yake na Chris Brown kwa muda

Kutokana  na kitendo hiko wawili hao walionekana kutokuwa na furaha hatimaye wamefikia uwamuzi wa kusitisha uhusiano kwa kipindi kisichojulikana

Wawili hao walionekana kuwa na ugomvi katika usiku wa tuzo za Grammy ugomvi uliosababishwa na Rihanna kutuma ujumbe kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani

Chanzo cha habari kilisema "Chris na Rihanna walikuwa teyari wana shaka katika tuzo hizo kutokana na hali hiyo"

"Rihanna alipokuwa akituma ujumbe huo Chris aliona kitendo chote ingawa hakujisikia vizuri"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging