BREAKING NEWS: BI. KIDUDE AFARIKI DUNIA Posted on by Zourha Malisa Taarifa zilizotufikia hivi punde zimethibitisha kifo cha mwimbaji maarufu wa muziki wa Taarabu Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo