VIDEO YA MUZIKI GANI IPO JIKONI Posted on by Zourha Malisa Hatimaye video 'ngoma' mpya wa Ney Wa Mitego akimshirikisha Diamond Platnumz inayojulikana kwa jina la Muziki Gani imeanza kufanyiwa shooting .Hii ni baadhi ya moja ya picha ya video hiyo