Google PlusRSS FeedEmail

JAY -Z KUNUNUA KISIWA KWA AJILI YA FAMILIA YAKE



Rapa nguli nchini Marekani Jay-Z amefanya kufuru baada ya kutangaza kuwa atanunua kisiwa chake binafsi katika eneo la la Bahamas, kwa ajili ya mapumziko na familia yake

Vyanzo vya habari vilivyopo karibu na nyota huyo vilieleza juzi kuwa  ametenga pauni milioni mbili ili kununua eneo hilo lililopo kaskazini mwa wilaya ya Abaco kwa ajili ya familia yake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging