KANYE WEST ATOSWA
Kutokana na tetesi kuwa Kanye West kudaiwa kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na rapa mwenzake Iggy Azalea, kimwana mrefu mwanamitindo, na kumtosa Kim Kardashiana kwa sababu kuwa amenenepa tetesi hizo zimeibuka hivi karibuni baada ya Kim Kardashian kutawala kurasa za mbele za majarida mbalimbali akidaiwa kutemwa na baba wa mtoto wake
Alipoulizwa kuhusu mahusiano hayo, Azalea alisema kuwa 'Sikujua kama nina mahusiano na Kanye mpaka nilipoona kwenye magazeti"








