Google PlusRSS FeedEmail

RICK ROSS AOMBA RADHI WANAWAKE



\Siku moja baada ya taarifa kusambaa kwamba kampuni ya Reebok imemtema Rick Ross kama msemaji wao, rapa huyo hatimaye ametoa walaka rasmi wa kuomba radhi kwa mashaili yake yanayosifu ubakaji katika wimbo alioshirikishwa 'U.O.E.N.O'

"Kabla ya kuwa mwanamuziki mimi ni Baba. mtoto na kaka wa wanawake ninaowaheshimu duniani hivyo kwa mimi kutoa kauli yoyote ya kuwaumiza wanawake ni kosa langu kubwa zaidi na nalijutia " ilisema sehemu ya walaka huo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging