KIM KUPATA MTOTO UFARANSA
Mkali wa shoo za Televisheni Kim Kardashian anajipanga kwenda kujifungua nchini Ufaransa katika jiji la Paris kukwepa waandishi wa habari ambao wanamuinda kila kukicha
Aliandika kwenye blog yake kuwa anatarajia kuondoka hivi karibuni na kuwa mbali na macho ya mapaparazi hao ambao wana uchu nao