PRIYANK CHOPRA MBIONI KUTOA ALBAMU
Mwigizaji wa Priyank Chopra (30) wa India yupo mbioni kutoa albamu yake ya kwanza huku akiwa na ndotp za kuwa muimbaji wa kimataifa baada ya miaka michache ijayo
Chopra ameeleza kuwa watu wengi wamemwambia kuwa hana sauti nzuri ya kuimba lakini baada ya albamu yake ya kwanza kuingia sokoni ndipo watakapoelewa lama ana sauti nzuri ama la








