RIHANNA NA DRAKE WAPENZI?
Rapa Drake na Rihanna walivumishiwa ni wapenzi mwaka 2009 na hali hiyo tena ilijurudia mwaka jana lakini mpaka kufikia sasa hapakuwa na uthibitisho wowote rasmi wa mahusiano yao
Drake ameanika kila kitu kwamba yeye na muimbaji huyo walikuwa wapenzi huku akimponda boifrendi wa kimwana huyo, Chris Brown, kuhusu mahusiano yao ya kuachana na kupatana








