FLAVIANA ASHIRIKI MISA MV BUKOBA
Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania Flavian Matata leo atashiriki katika misa maalum ya kuwakumbuka watanzania waliopoteza maisha katika ajali ya Mv Bukoba mwaka 1996.
Misa hiyo ambayo inafanyika kwenye eneo la makaburi ya kumbukumbu ya Mv Bukoba ambapo, Flaviana alipoteza mama mzazi na kaka yake katika ajali hiyo