PROFESSA JAY AJIUNGA CHADEMA Posted on by Zourha Malisa Msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop Professa Jay amejiunga rasmi na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)