MONALISA -USANII UMENIFUNZA
Mwigizaji Monalisa Chida ameweka wazi kuwa kupitia kazi yake ya uigizaji amejifunza kuwa na hekima, ukarimu na kujali wengine.
Alisema amejifunza hayo kutokana na kufuatilia filamu mbalimbali lakini yeye mwenyewe kucheza kwenye nafasi ambazo anatakiwa kuwa hasi na kuona jinsi wadau wa filamu wanavyozichukulia na kumchukulia mwigizaji alivyocheza hiyo nafasi