SIR PETERS KUFIA JUKWAANI
Mkali wa wimbo 'juju' Sir Shina Peters amesema kuwa ujio wake wa nyimbo ya pili utasababisha afie jukwaani Shina ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu amerudi tena na nguvu mpya ambapo amesema kuwa miongoni mwa mikakati yake mipya ni kuhakikisha anatoa burudani kwenye jukwaa kama ni kufia hapo na afie