PICHA VIDEO YA LOVE ME IZZO B
Baadhi ya picha behind the sine zinazoonyesha shoot ya video ya wimbo mpya wa Izzo B unaojulikana kwa jina la LOVE ME ambao ndani kawashilikisha Shaa na Barnaba classic, hizi ni baadhi ya picha zilizopatikana wakati wa kushoot video hiyo











