Muimbaji wa kundi la Mapacha watatu Khalid Chokoraa akifwatiria shunghuri nzima za utoaji wa tuzo jana katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam
Chazy Baba muimbaji wa bendi ya Mashujaa akiwa na mkewake mtarajiwa wakifwatilia utoaji wa tuzo jana
Rapa wa kundi la Mashujaa Bendi Fagasoni akiwa na mkewake jana katika tuzo za kilimanjaro
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rich Mavoko akitoa burudani ambayo ilipambwa na wacheza shoo wa THT jana katika kinyanganyiro cha tuzo za Kilimanjaro
Mwana FA akifwatiria utoaji wa tuzo







