Mrisho Mpoto akipokea tuzo ya wimbo bora ya vionjo vya asili ambapo nyimbo iliyomsababisha kutwaa tuzo hiyo ni Chocheeni Kuni aliyoimba kwa kushirikiana na Ditto
Ben Pol akipokea tuzo ya mtunzi bora wa mashairi bongo flava
Chazy Baba ambaye aliibuka kuwa msanii bora wa kiume katika bendi akiwashukuru watanzania baada ya kupokea tuzo hiyo
Mhariri wa gazeti la Mwananchi upande wa burudani Mdimu akikabidhi tuzo kwa Amini ambapo nyimbo ya Ni wewe kuwa nyimbo bora ya zouk Rhumba