Mtoto wa marehemu Whitney Houston Bobbi Kristina Brown ametangaza kuwa ‘engeged’ na ‘kaka’ yake .ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja toka kifo cha Whitney Houston
Nick Gordon na Bobbi Kristina siyo ndugu wa damu, lakini Gordon ni kijana ambaye alilelewa na Whitney Houston kama mtoto wake na Bobbi walikuwa kama mtu na dada yake kutokana na hilo.
Kwa mujibu wa Daily Mail Toka kifo cha Whitney Bobbi amekuwa akiandamwa na skendo hiyo ya kutembea na ‘kaka’ yake kitu ambacho amejitetea kupitia ukurusa wake wa facebook kwa kudai kuwa Gordon sio kaka yake wa damu wala hakuasiliwa na mama yake, pia akaongeza kuwa Whitney aliwahi kumwambia kuwa anajuwa watakuja kudate.