J-LO : ALALA NJE
Jennifer Lopez amebainisha katika toleo la Agosti la Jarida la 'W' kwamba kuna wakati hakuwa na mahala pa kuishi wakati akitafuta njia ya kutokea.
"Mimi na mama yangu tuligombana sikutaka kwenda chuo, nilitaka kujaribu kudanganya hali hiyo ilisababisha tutofautiane nikaanza kulala kwenye makochi katika studio za kudansi, sikuwa na mahali pa kuishi"