Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ KUKACHA MUZIKI KUKIMBILIA FILAMU


Nicki Minaj ameweka wazi malengo yake kuwa ni kufanya albamu tatu zaidi kisha aingie kikamilifu katika uigizaji wa filamu

"Nataka angalau nifanye albamu tatu na zaidi kama nitakamilisha hilo nitajiona nimekamilika siku moja nikijiona nimeanza kutoka mvi kichwani, pengine nitatulia kuwa muigizaji tu siwezi kujua" alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging