Google PlusRSS FeedEmail

JESHI LA POLISI NCHINI KUWAHOJI WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA

Baada ya wasichana wawili raia wa Tanzania Agnes Gerald 'Masogange' pamoja na Melisa Edward waliokamatwa ijumaa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini kwa kukutwa na kilo 150 za dawa za kulevya aina ya Cystal Methamphetamine mapya yaibuka

Ambapo jeshi la polisi nchini likiwa linaendelea na uchunguzi wake juu ya tukio hilo limeweka wazi kuwa watapeleka askari wa jeshi hilo nchini Afrika kusini kwa ajili ya kuwahoji wasichana hao ambao bado wanashikiliwa na polisi nchini humo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging