Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mchizi Mox akisalimiana na msanii mwenzie Mwana FA walipokutana katika tamasha la matumaini lililofanika hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa na baadhi ya wasanii watanzania pamoja na mtangazaji wa EATV kabla ya kupanda jukwaani katika tamasha la Matumaini
H. Baba akiwa pamoja na Kala Pina wakizungukwa na mashabiki wa bongo fleva
Kala Pina akishoo love na shabiki wake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akishuka kwenye gari alipowasili kiwanjani hapo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.