NANDO AWASILI TANZANIA
Aliyekuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Nando amewasili leo nchini baada ya kutolewa kwenye shindano hilo kwa kuonekana hastahili kuendelea kukaa ndani ya jumba hilo baada ya kukiuka baadhi ya sheria.
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG