NEY WA MITEGO KUACHIA SALAM ZAO
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Salamu zao'. Ambapo ndani ya ngoma hiyo Ney wa Mitego ametunga mashahili ya kumpa slamu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete juu ya ugomvi wa wanamtwara unaoletwa na sakata la gesi.
Msanii huyo anatarajia kuachia ngima hiyo wiki ijayo baada ya mfungo wa Ramadhani.