Muimbaji Beyonce Knowles ameamua kubadilisha muonekano wake kwa kuzikata nywele zake zilizokuwa zikimfanya aonekane mwenye mvuto zaidi na kuamua kubaki na nywele fupi.
Beyonce amekuwa gumzo baada ya kuposti picha yake katika akaunti yake ya Instagram akiwa na muonekano wa nywele fupi hali ambayo imeleta tofauti na alivyozoeleka
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.