Muimbaji kutoka kundi la P- Square, Peter Okoye amemvalisha pete ya uchumba 'demu' wake kwa mtindo ulioibua hisia za tofauti kwa mashabiki wake.
Muimbaji huyo ambaye ameamua kumsuprise mpeni wake huyo kwa kumvalisha pete ya uchumba iliyoambatana na gari jipya la Range Rover Evoque na maua mbele ya gari hilo huku ukiwa umebeba ujumbe uliosomeka 'Please say Yes'
Msanii huyo na mpenzi wake huyo aliyemvalisha pete ni wapenzi wa muda mrefu ambapo teyari wamefanikiwa kupata watoto wawili