DULLAYO, JOSLIN KUPAGAWISHA TANGA SIKU YA IDD Posted on by Zourha Malisa Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Dullayo pamoja na Joslin wanatarajia kufanya shoo maalumu kwa ajili ya wapendanao itakayofanyika sikukuu ya Idd mkoani Tanga