KUMBE CHID BENZ TEJA?
Jana msanii wa miondoko ya Hip Hop Chidi Benz amekiri jana kutumia dawa za kulevya na kutibiwa nchini Nairobi ambapo aliweza kutumia zaidi ya sh. milioni 15 kujitibia.
Alikiri hivyo kupitia kituo kimoja wapo cha radio katika kipindi cha XXL kinachorushwa Clouds Radio alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya.
Alisema mazingira yalimshawishi kutafuta tiba ili aondokane na madhara ya tatizo hilo la kutumia dawa za kulevya.