SOULIJA BOY ASHUSHWA NDANI YA NDEGE
Baada ya kukosa heshima rapper Soulija Boy wiki iliyopita ashushwa ndani ya ndege la shirika la Marekani Airlines baada ya kukataa kuheshimu maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na muhudumu wa ndege
Kutokana na kitendo hiko rapa huyo aponea chupuchupu kukamatwa na maofisa wa usalama walioingia ndani ya ndege hiyo kumshusha.