Mwanamuziki maarufu miondoko ya asili ya Ghana Azonto anayeishi nchini Uingereza, Fuse ODG anatarajia kufanya shoo nchini Tanzania Dar es Saalam September 7 mwaka huu.
Muimbaji huyo wa Azonto anatarajia kufanya shoo hiyo katika viwanja vya Ustawi wa Jamii ambapo atasindikizwa na wasanii wa nyumbani akiwemo Wakazi, H. Baba, Banana Zoro
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








