Google PlusRSS FeedEmail

Z ANTON KUTOKA NA 'SISTER DUU'

Msanii wa Bongo fleva Z, Anton anatarajia kutoa wimbo wake mpya aliouita jina la 'Sister duu baada ya kumaliza mzunguko wake wa fiesta.

Z Anton alisema tayari wimbo huo unafanywa katika studio ya kiba, na unatarajiwa kutoka wiki mbili baada ya kumaliza tamasha la fiesta

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging