FLAVIANA MATATA AZIDI KUPAA KIMATAIFA Posted on by Zourha Malisa MWANAMITINDO wa Tanzania Flaviana Matata anazidi kutamba katika fani ya mitindo kwa kuonekana katika moja ya bango la mbunifu wa mitindo wa Marekani Kenneth Cole (59).