RAPPER Eminem ameanza kurekodi albamu yake ya saba inayotengenezwa na Dr. Dre aliyoipa jina la ' The Marshall Mathers LP 2' anayoitarajia kuitoa November 5 mwaka huu.
Rapper huyo ambaye yupo katika kambi maalumu kwa ajili ya kuipika albamu hiyo ambayo ni muendelezo ya kukamilisha MMLP 1, ambayo ilitoka mwaka 2000.
Albamu hiyo itakuwa ni ya saba ambayo imetengenezwa na mkongwe Dr Dre ambayo imetengenezwa na kutangazwa kwa miaka mitatu mfululizo.
Eminem teyari ameshaachia wimbo mmoja unaopatikana kwenye albamu hiyo inayojulikana kwa jina la 'Berzerk' ambayo ameiweka kwenye mtandao wake.
Kupitia beats ya Dr Dre lilitolewa tangazo kuwa Eminem sasa yupo kwenye kazi ya kukamilisha albamu hiyo ambayo itakuwa muendelezo wa albamu iliyotolewa mwaka 2000.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.