PICHA ZA REDD"S MISS TANZANIA 2013 Posted on by Unknown Redd’s Miss Tanzania 2013 ni Happiness Watimanywa, mshindi wapi ni huyu wa kushoto anaitwa Latifa Mohamed na wa tatu ni Clara Bayo ambapo jumla ya Warembo 30 walishiriki kutoka mikoa mbalimbali.