MSHINDI WA REDD'S MISS PHOTOGENETICS AMEPATIKANA
Mshindi wa Miss Redd's Photogenetics (katikati) akiwa amepozi na washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora ya miss Photogenitc. Kinyanganyiro hicho kilifanyika juzi katika hoteli ya Giraff Dar es Salaam







