Muigizaji wa kike wa Nollywood, Genevieve Nnaji, anazidi kupanda kwenye kilele cha mafanikio kimya kimya bila kutangazwa na vyombo vya habari.
Muigizaji huyo ambaye hivi karibuni alikuwa ziarani huko Toronto, Canada, ameripotiwa kununua jumba jingine la kifahari lenye thamani ya Naira milioni 220 za Kinigeria ambazo ni swa na shilingi za kitanzania bilioni 21.9 katika eneo la makazi ya matajiri huko Parkiew Estate Ikoyi, jijini Lagos, Nigeria.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.