Muigizaji wa Nollywood, Susan Peters, ameamua kuokoka na kuyakabidhi maisha yake kwa Bwana yesu, muigizaji huyo aliokoka hivi karibuni baada ya kupitia maisha ya utata kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya karibu, Susan aliona hakuna faida ya kuendelea kuishi maisha anayoishi sasa na akaamua kumrudia mungu. Alifanya hivyo mwishoni mwa wiki alipokwenda kanisani na kukiri wokovu
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.