Google PlusRSS FeedEmail

MASOGANGE AWAJIAJUU WANAOMUOMBEA MABAYA


MWANADADA Agness Gelrad 'Masongange' awashangaa baadhi ya watanzania waliokuwa wanamuombea mabaya na kuchukizwa  yeye na mdogo wake Melisa Edward kupata dhamana.

Hivi karibuni imeripotiwa wadada hao wameachiwa kwa dhamana kutokana na kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Afrika Kusini.

Habari za kuachiwa kwa wadada hao zilienea katika mitandao ya kijamii huku mwanadada huyo kutuma picha zilizokuwa zikimuonesha yupo uraiani nchini humo akiwa anafanya mazoezi.

Kutokana na kitendo hicho cha kuachiwa kwa dhamana Masogange alishangazwa na baadhi ya watanzania ambao wamechukizwa na kitendo cha yeye kuachiwa kwa dhamana na kurejea tena uraiani.

Kwa kutumia ukurasa wake wa Instagrama Masogange aliandika kushangazwa na baadhi ya watu kukasirishwa kwa kitendo hiko na kudai kuwa jambo alilolipanga mungu kamwe binadamu hawezi kulipangua.

"Najua kuwa kuna baadhi ya watu wamechukia mimi kutoka, lakini mungu akipanga lake binadamu hawezi kupangua" Aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

This entry was posted in

4 Responses so far.

  1. Anonymous says:

    Ass holes (mules) are now divaz! u nid a church

  2. Anonymous says:











































    Wewe Agnes ni mwehu!wa2 wanashida zao wakasirike kutoka kwako.

  3. Anonymous says:

    rot in helllll

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging