Muimbaji wa muziki wa R&B ambaye ni zao la BSS, Meninah Atick ameonesha kukua kimuziki baada ya kufanya shoo ya aina yake akiwa na madansa wa kiume sambamba na sarakasi zilizomga'risha zaidi katika jukwaa la Azonto live In Dar.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mara baada ya kutoka jukwaani msanii huyo aliweka wazi kuwa anatakiwa kubadilika kila wakati ili apambane na ushindani uliopo katika 'gemu' hilo.
Alisema kuwa mabadiliko yake ndio mafanikio katika upande wa muziki kwani alivyo leo ni tofauti na alivyokuwa kipindi yupo ndani ya BSS, msanii huyo kwa sasa anatamba na kibao kinachojulikana kwa jina la 'Dream Tonight'
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.