MKE WA TIMBERLAKE KUTUMIA JINA LAKE
Muigizaji Jessica Biel, ameamua kutumia jina la mwisho la mume wake ambaye pia ni mwanamuziki, Justin Timberlake, wapenzi hao ambao walioana miezi 11 iliyopita katika harusi iliyopamwa na gazeti la Hello.
Jessica amesema ataendelea kutumia jina lake la mwisho la Biel kikazi, Justine na Biel walifunga ndoa nchini Italia na kwenye siku yao hiyo maalumu, Justine alimpa zawadi mkewe kwa kumuimbia wimbo maalumu