Google PlusRSS FeedEmail

OKONKWE AMKANA MERCY

Muigizaji Veterani wa Nollywood, Kenneth Okonkwe, ambaye hivi karibuni alibainisha sura ya mwanamke mzuri kuliko wote duniani, ameamua kuweka wazi kuwa hana mahusiano yoyote na muigizaji Mercy Johnson, licha ya kuigiza naye vipande vya mahaba.

Katika mahojiano ya hivi karibuni, Okonkwe amesema tetesi zinazozagaa kuwa yeye anamahusiano na nyota huyo wa kike si za kweli. Aliweka wazi kuwa kamwe hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii huyo kwani ni kama dada yake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging