VIDEO YA BILA KUKUNJA GOTI KUZINDULIWA IJUMAA
Msanii J Martin anatarajiwa kuwasili nchini kwa ajili ya kuendesha shughuri nzima ya uzinduzi wa video ya 'bila kukunja goti' inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya Ijumaa wiki hii katika ukumbi wa Elements Masaki jijini Dar es Saalam.
Nyimbo hiyo ambayo imeimbwa na wasanii wa tanzania akiwemo AY, Mwana FA, pamoja na J Martin