Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND AJITABILIA KIFO

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasib Abdul 'Diamond' amezua mjadala kwa mashabiki baada ya kuachia wimbo mpya uitwao 'Kifo changu'.

Mashabiki hao wamezua mijadala mingi na kuandika vitu tofauti katika mitandao ya kijamii baada ya kusikiliza wimbo huo kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali.

"Vipi wasafi watanililia...? Je ndugu marafiki watahudhuria ama nitakapokufa sina changu ? au hata mama angu watamkimbia? " aliandika Diamond katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging