LINAH AMECHUMBIWA? Posted on by Zourha Malisa Msanii Linah Sanga ameonekana kwenye moja ya picha aliyoipiga hivi karibuni akiwa amevaa pete ya uchumba hali ambayo imezua mjadala kwa mashabiki zake kama msanii huyo tayari ameshachumbiwa.