Muigizaji wa kike katika filamu ya Fast and Furious 7, Michelle Rodriguez amekana kuwa msagaji.
Kwa kipindi kirefu mwanadada huyo amekuwa akidaiwa kuwa na uhusiano na wadada wenzake.
Mwanadada huyo (35) aliliambia jarida moja la nchini Marekani lijulikanalo kama Entertainment Weekly kuwa wanaume wanamfuata na yeye akiwa kama wanawake wengine anahusiano nao.
Mwanadada huyo inasemekana kuwa amewahi kuwa na uhusiano wa Vin Diesel ambaye anacheza naye katika filamu hizo za kibabe za Fast and Furious.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.