Google PlusRSS FeedEmail

JAYDEE ATOKA NA REMIX JOTO HASIRA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Judith Wambura 'Lady Jaydee' ameachia remix ya ngoma yake inayotomba katika baadhi ya redio nchini inayojulikana kwa jina la Joto Hasira.

Msanii huyo nyota ameamua kuwashirikisha rappers wakali katika nyimbo hiyo akiwemo Mkoloni, Nikki Mbishi, pamoja na Songa, One ili kuongeza radha ya nyimbo hiyo ambayo teyari ameshaiachia.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging