Google PlusRSS FeedEmail

RUBEN STUDDARD APOTEA KIMUZIKI

Inawezekana wimbo wa Sorry for 2004 ndio wimbo ulioshika chati kwa miaka fulani na kisha kwa sasa wimbo huo kupotea ambapo hali hiyo imepelekea hadi muimbaji kutojulikana alipo.

Msanii Ruben Studdard ndiye aliyeiimba wimbo huo huku akiishi maisha mazuri na ya kuvutia kwa kipindi kirefu akiwa ndio ameshinda tuzo za American Idol, lakini kwa sasa amejikuta akiwa na maisha ya kawaida isivyotarajiwa.

Akifanya mahojiano yake na shirika la 'The Associated Press' alisikika akilalamika kupoteza pauni 462, alisema kuwa awali alikuwa akifanya matanuzi mbalimbali hasa kila baada ya shoo zake lakini hata hivyo kwa sasa inakuwa ngumu kwa kuwa kwanza anatumia muda wake mwingi kufanya kazi.

Akizungumza mikakati ya kujiinua upya kimuziki kwa sasa ameweka wazi kuwa amejipanga kila siku kutumia masaa mawili kwa ajili ya kufanya mazoezi ya muziki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging