Msanii wa Nigeria Jim Lyke, ambaye hivi karibuni alikumbwa na mkasa wa kuangushwa na mapepo katika kanisa la Mtume T.B Joshua, juzi aliamua kuwakwepa wadaku na kwenda kanisani nchini Ghana.
Nyota huyo ambaye alipondwa na wenzake kwa kuangushwa na mapepo wakidai kuwa alikuwa anaogopa, alionekana kanisani Ghana akiwa na Nadia Buari.