Google PlusRSS FeedEmail

JUSTINE BIEBER AWA KIVUTO CHINA





 Msanii wa muziki wa pop Justine Bieber (19) ametoa mpya ya mwaka katika wiki hii baada ya kubebwa na wapambe wake kwa lengo la kupanda ukuta wa china.

Msanii huyo yupo nchini China kwa ajili ya shoo yake atakayoifanya Dalian nchini humo ikiwa inajulikana kwa jina la 'Believe Tour'

Lakini hata hivyo wapambe wake hao hawakumuinua kufikia hatua ya mwisho ila ni kwa umbali fulani tu na hata hivyo walimshusha na kuendelea na ratiba nyingine za utalii.

Justine akiwa nchini China amekuwa kivuto kwa watu wengi ambao wamekuwa wakiongozana naye kila mahala ambapo amekuwa akienda.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging